Wimbi la udhalimu: Unyonyaji na uvuvi haramu wa meli za China Kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi

  • Publication Date  11-04-24
  • Type  Report

Ripoti hii inaangazia uwepo wa shughuli za uvuvi unaofanywa na vyombo vya majini vya China (DWF) katika eneo la Kusini-Magharibi ya Bahari ya Hindi yaani (SWIO), ukanda unaotambulika kwa utajiri mkubwa wa mazao ya bahari, ambao ni muhimu katika maisha ya jamii.